ELCT Press Release

Date: July 20, 2017
Press release No. 001/07/2017

close window


Askofu Mstaafu Swallo aitwa mbinguni (English below)

Askofu mstaafu Solomon Swallo wa Dayosisi ya Kusini Kati aliitwa mbinguni tarehe 16 Julai 2017 baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa na miaka 84.


Askofu Mstaafu Solomon Swallo

Taarifa fupi iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Bw. Brighton Killewa, imesema mazishi yatafanyika Usharika wa Bulongwa mnamo 22 Julai 2017.

Marehemu aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT Dayosisi ya Kusini Kati, aliongoza Dayosisi hiyo tangu 31 Oktoba 1976 hadi 1999 alipostaafu.


Retired Bishop Swallo dies

Retired Bishop Solomon Swallo of South Central Diocese passed away on July 16, 2017 after a short illness at the age of 84.

A brief statement issued by the ELCT Secretary General, Mr. Brighton Killewa, said burial will take place at Bulongwa Lutheran Parish on July 22, 2017.

He was the first bishop of ELCT South Central Diocese who led the diocese from 31 October 1976 to 1999 when he retired.

==================================================
Elizabeth Lobulu
Communication Coordinator,
Evangelical Lutheran Church in Tanzania
Box 3033, ARUSHA, Tanzania.
Phone: +255-27-250-8856/7
FAX: +255-27-254-8858
E-mail: ELobulu@elct.or.tz

Close this window

For more information contact:

Elizabeth Lobulu
Communication Desk Officer, ELCT
E-mail: ELobulu@elct.or.tz