The St. Barnabas chapel,at Faraja Deacon Centre. |
Ukimwi na Maisha .AIDS IN LIFE. | |
![]()
Your Producer Deo Mosha deaconmosha@Yahoo.co.uk
Your Producer Rose Ngowi. mauarose@yahoo.com Utuandikie! Write to as through the following adress> Anwani ya studio ni
|
Unahofu
juu ya UKIMWI ? Do you have fear on AIDS? Unafikiri nini unaposikia neno hili UKIMWI ? What do you think when you hear the word AIDS? Vijana ambao hawajaoa au kuolewa wafanye nini kabla? What should the youth do before marriage? Je ni lazima kufanya majaribio ya mapenzi kabla ya ndoa? Is it a must to do pre-marriage sex as a test? Je unahisi kuwa umeathirika? Unaona MAISHA hayana maana tena? Do you think that you are affected? Do you see that life is not worthy any more? Katika kipindi hiki utawasikia vijana na wasikilizaji wengine wakitoa maoni na ushauri kuhusu maswali haya.Pia unaweza kuwasikia wataalam mbalimbali wa afya,viongozi wa kidini wakikuelimisha juu ya maendeleo ya hali ya UKIMWI In this programme you will here the youth and other listerners giving their views and advice concerning these questions. You will also here the medical profecianal, Religious leaders educating you in this programme about other measures taken concerning AIDS.
|