Music Recording

Musicians at the production

Drop us an e-mail !

Redio@ELCT.ORG

GoTo.gif (861 Byte)Back to start page

It is Fun to produce your CD in the studio of the LRC

some memos if you come to be recorded:

Kumbuka mambo yafuatayo wakati wa kufanya booking au wakati wa kurekodi kwayaSauti ya Injili

* Fika katika saa 2 na nusu mpaka saa 3 kamili asubuhi.siku ya kurekodi

* Fika na vyombo ulivyozoea kutumia na kwaya yako kmf keyboard,gitaa nk

* Hakikisha vyombo vyako vinafanyakazi (nyuzi za gita, adapta, betri nk )

* Kumbuka bites na vinyvaji

* Kama unapenda kutumia vifaa vya SYI (Kinanda, Gitars) wasiliana na idara utakayoelekezwa na mhudumu.

* Kwaya itaanza kurekodiwa saa nne kamili asubuhi,kuanzia saa tatu hadi saa nne kwaya itaruhusiwa kufanya mazoezi.

* Kuna njia mbili za kurekodi. Kama kuna kwaya nzima tunarecord yote moja kwa moja pamoja na vyombo. Kwa mwimbaji mmoja atarekodiwa kwa tracks.

* Kwaya ikishaingia studio hairuhusiwa kutoka mpaka kumaliza kurekodi. Hii inasaidia tusifaye setup upya kila wakati pia sauti za waimbaji kutokubadilika. Lakini kuna breki mbali mbali sehemu ya studio.

* Tunategemea kumaliza kurekodi saa 8. Kama unapenda kurekodi album 2 tafadhali fanya booking kwa siku 2.

* Sisi kama staff ya SYI tunategemea kuwa kwamba utafanya maandalizi mazuri.

* Kama utapenda ushauri ya kimuziki tafadhali piga simu namba 0754 28 68 30 au 0784 25 42 43. Kuna uwezekano wa kupata ushauri wakati wa mazoezi huko ulipo!

* Kama una Soundtrack kama MIDI File , .WAV file, au digital file tofauti kwenye DAT nk, tafadhali onana na fundi kwa maelekezo kabla hujaja kurekodi.

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA  

              Evangelical Lutheran Church in Tanzania