Maoni ya Msikilizaji (Friday) (Philemon Fihavango) January 2002
| Date | 4.1.2002 A | 11.1.2002 A | 18.1.2002 A | 25.1.2002 A |
| Our Guest | John Cyprian Mwendo mwalimu wa Chekechea Usharika wa Kahama Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria KKKT | John Cyprian Mwendo mwalimu wa Chekechea Usharika wa Kahama Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria KKKT | Mchungaji Michael P Lyimo Mkuu wa Jimbo la Kusini Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria KKKT | Mchungaji Michael P Lyimo Mkuu wa Jimbo la Kusini Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria KKKT |
| Topic | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili Moshi kanda ya Ziwa Victoria na umuhimu wake katika kueneza Habari Njema | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili Moshi kanda ya Ziwa Victoria na umuhimu wake katika kueneza Habari Njema | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili Moshi kanda ya Ziwa Victoria na umuhimu wake katika kueneza Habari Njema | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili Moshi kanda ya Ziwa Victoria na umuhimu wake katika kueneza Habari Njema |
Maoni ya Msikilizaji (Friday) (Philemon Fihavango) February 2002
| Date | 1.2.2002 A | 8.2.2002 | 15.2.2002 | 22.2.2002 |
| Our Guest | Nafika Mgheni kutoka Usharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | Anjelina ShekiandikoUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | David ShekiandikoUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | Stephen Manasseh SalehUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga |
| Topic | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga |
Maoni ya Msikilizaji (Friday) (Philemon Fihavango) March 2002
| Date | 1.3.2002 A | 8.3.2002 | 15.3.2002 | 22.3.2002 | 29.3.2002 |
| Our Guest | Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Ali Mohamed Shein | Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Ali Mohamed Shein | Kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro James Ole Millya | Meja Jenerali Mstaafu Herman Lupogo Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Tacaids | Producer Topic: Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Kitaifa 2001 |
Maoni ya Msikilizaji (Friday) (Philemon Fihavango) April 2002
| Date | 5.4.2002 A | 12.4.2002A | 19.4.2002 A | 26.3.2002 A |
| Our Guest | Mchungaji Faustino Mahali Dayosisi ya Matamba KKKT | wasikilizaji wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT | wasikilizaji wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT | wasikilizaji wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT |
(Philemon Fihavango) May 2002
| Date | 3.5.2002 A | 10.5.2002 A | 17.5.2002A | 24.5.2002A | 31.5.2002A |
| Our Guest | Wasikilizaji wa Dayosisi ya Morogoro KKKT | Wasikilizaji wa Dayosisi ya Morogoro KKKT | Wasikilizaji wa Dayosisi ya Morogoro KKKT | Wasikilizaji wa Dayosisi ya Morogoro KKKT | Wasikilizaji wa Dayosisi ya Morogoro KKKT |
(Philemon Fihavango) June 2002
| Date | 7.6.2002 A | 14.6.2002 A | 21.6.2002A | 28.6.2002A |
| Our Guest | Bwana Abrahamu Kaaya,Msikilizaji wa Arusha, Dayosisi ya Meru KKKT | Bwana Abrahamu Kaaya,Msikilizaji wa Arusha, Dayosisi ya Meru KKKT | Bwana Abrahamu Kaaya,Msikilizaji wa Arusha, Dayosisi ya Meru KKKT | Bwana Abrahamu Kaaya,Msikilizaji wa Arusha, Dayosisi ya Meru KKKT |
| TOPIC | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili na Umhimu wake kwa jamii. | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili na Umhimu wake kwa jamii. | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili na Umhimu wake kwa jamii. | Usikivu wa Redio Sauti ya Injili na Umhimu wake kwa jamii. |
(Philemon Fihavango) July 2002
| Date | 5.7.2002 A | 12.7.2002 A | 19.7.2002A | 26.7.2002A |
| Our Guest | Mkuu wa Jimbo la Kusini KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria | Mkuu wa Jimbo la Kusini KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria | Mkuu wa Jimbo la Kusini KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria | Mkuu wa Jimbo la Kusini KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria |
| TOPIC | Usikuvu wa matangazo na kazi za kueneza Injili Kanda ya Ziwa Victoria | Mauaji ya wazee wenye macho mekundu | Mauaji ya wazee wenye macho mekundu | Mauaji ya wazee wenye macho mekundu na salamu |
(Philemon Fihavango) August 2002
| Date | 2.8.2002 A | 9.8.2002 A | 16.8.2002A | 23.8.2002A | 30.8.2002 |
| Our Guest | Adamu Abnery Minja wa Karatu, mkoani Arusha | Adamu Abnery Minja wa Karatu, mkoani Arusha | Adamu Abnery Minja wa Karatu, mkoani Arusha | Adamu Abnery Minja wa Karatu, mkoani Arusha | Adamu Abnery Minja wa Karatu, mkoani Arusha |
| TOPIC | Usikivu wa vipindi, tatizo la ajira na Ukimwi | Usikivu wa vipindi, tatizo la ajira na Ukimwi | Usikivu wa vipindi, tatizo la ajira na Ukimwi | Usikivu wa vipindi, tatizo la ajira na Ukimwi | Usikivu wa vipindi, tatizo la ajira na Ukimwi |
(Philemon Fihavango) Septemba 2002
| Date | 6.9.2002 A | 13.9.2002 A | 20.9.2002A | 27.9.2002A |
| Our Guest | Mheshimiwa Rais Benjamin William Mkapa | Mheshimiwa Rais Benjamin William Mkapa | Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni | Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni |
| TOPIC | Hotuba wakati wa kumweka Wakfu Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni 16-6-2002 | Hotuba wakati wa kumweka Wakfu Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni 16-6-2002 | Hotuba wakati wa kuwekwa Wakfu Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni 16-6-2002 | Hotuba wakati wa kuwekwa Wakfu Askofu Dr.Israel Peter Mwakyolile wa Dayosisi ya Konde KKKT Juni 16-6-2002 |
(Philemon Fihavango) OKTOBA 2002
| Date | 4.10.2002 A | 11.10.2002 A | 18.10.2002A | 25.10.2002A |
| Our Guest | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga |
| TOPIC | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi |
Maoni ya Msikilizaji (Fridays) (Philemon Fihavango) NOVEMBA 2002
| Date | 1.11.2002 | 8.11.2002 A | 15.11.2002A | 22.11.2002 A | 29.11.2002 A |
| Our Guest | Rev. Faustino Mahali Dayosisi ya Kusini Magharibi Matamba KKKT | Nafika Mgheni kutoka Usharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | Anjelina ShekiandikoUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | David ShekiandikoUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga | Stephen Manasseh SalehUsharika wa Hengiti Sinai Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT Lushoto Tanga |
| Topic | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili kanda ya Nyanda za Juu Kusini | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Tanga |
(Philemon Fihavango) December 2002
| Date | 6.12.2002 A | 13.12.2002 A | 20.12.2002A | 27.12.2002A |
| Our Guest | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga | Mkuu wa Jimbo la Kusini Mashariki Dayosisi ya Pare Mchungaji ombeni Mmbaga |
| TOPIC | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi | Usikivu na marekebisho ya vipindi |
Maoni ya Msikilizaji (Fridays) (Philemon Fihavango) JANUARY 2003
| Date | 3.1.2002 A | 10.1.2002 A | 17.1.2002A | 24.1.2002 A | 31.1.2002 A |
| Our Guest | Producer mwenyewe | Maximillan Choggo | Jordan Kisenime | Grace Mtalikuyanja | Producer mwenyewe |
| Topic | Mambo ya kufanya kwa mwaka 2003 maendeleo ya Radio Sauti ya Injili | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Morogoro | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Morogoro | Maoni kuhusu usikivu na maendeleo ya Radio Sauti ya Injili Maeneo ya mkoa wa Morogoro | Mambo ya kufanya kwa mwaka 2003 maendeleo ya Radio Sauti ya Injili |
Maoni ya Msikilizaji (Fridays) FEBRUARY 2003 likizoni au ubinafsishaji????
| Date | 7-02-2003 | 14-02-2003 | 21-02-2003 | 28-02-2003 |
| Our Guest | ||||
| Topic |
Maoni ya Msikilizaji (Fridays) (Philemon FihavangoMarch 2003
| Date | 7/03/2003 | 14/03/2003 | 21/03/2003 | 28/03/2003 |
| Our Guest | Mwinjilisti Gerson Munyi kutoka Dyss ya Iringa | Mwinjilisti Gerson Munyi kutoka Dyss ya Iringa | Mwinjilisti Gerson Munyi kutoka Dyss ya Iringa | Mwinjilisti Gerson Munyi kutoka Dyss ya Iringa |
| Topic | Ni Jinsi gani vipindi vya Sauti ya Injili Viboreshwe. | Ni Jinsi gani vipindi vya Sauti ya Injili Viboreshwe Sehemu za Pili. | Ushauri kwa Vijana kuhusu Ukimwi. | Redio mbalimbali zifanye nini kuboresha vipindi. |
APRIL 2003
| Date | 4/04/2003 A | 11/04/2003 A | 18/04/2003 A | 25/04/2003 A |
| Our Guest | Bwana Francis Kiwanga wa Kidugala Dayosisi ya Kusini Njombe KKKT | Bwana Francis Kiwanga wa Kidugala Dayosisi ya Kusini Njombe KKKT | Mwinjilisti David Ngullo Dayosisi ya Kusini Njombe KKKT | Mwinjilisti David Ngullo wa Dayosisi ya Kusini Njombe KKKT |
| Topic | Usikivu wa vipindi vya Redio Sauti ya Injili Nyanda za Juu Kusini. | Usikivu wa vipindi vya Redio Sauti ya Injili Nyanda Juu Kusini | Usikivu wa vipindi vya Redio Sauti ya Injili Nyanda za Juu Kusini | Usikivu wa vipindi vya Redio Sauti ya Injili Nyanda za Juu Kusini |
MEI 2003 Philemon Mark Fihavango
| Date | 2.5.2003 A | 9.5.2003 A | 16.5.2003A | 23.5.2003 A | 30.5.2003 A |
| Our Guest | Producer mwenyewe | Producer mwenyewe | Producer mwenyewe | Producer mwenyewe | Producer mwenyewe |
| Topic | Ukimwi utaishaje Swali kwa msikilizaji | Ukimwi utaishaje Swali kwa msikilizaji | Ukimwi utaishaje Swali kwa msikilizaji | Nini athari za madawa ya kulevya | Nyimbo |
JUNI 2003 Philemon Mark Fihavango
| Date | 6.6.2003 A | 13.6.2003 A | 20.6.2003A | 27.6.2003 A |
| Our Guest | Adam Abnery Minja msikilizaji wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha | Adam Abnery Minja msikilizaji wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha | Adam Abnery Minja msikilizaji wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha | Adam Abnery Minja msikilizaji wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha |
| Topic | Matatizo ya vijana na Ukimwi wilayani Karatu | Matatizo ya vijana na Ukimwi wilayani Karatu | Matatizo ya vijana na Ukimwi wilayani Karatu | Matatizo ya vijana na Ukimwi wilayani Karatu |
JANUARY 20(Fihavango Mark Philemon )
| DATE |
7.1.2005 |
14.1.2005 |
21.1.2005 |
28.1.2005 |
| OUR GUEST |
Wakazi wa
Maramba Lushoto Tanga |
Wakazi wa Maramba Lushoto Tanga | Wakazi wa Maramba Lushoto Tanga | Wakazi wa Maramba Lushoto Tanga |
| TOPIC |
Kumomonyoka
kwa maadii nchini Tanzania nani wa kulaumiwa |
Jinsi gani
mtu atumie vyema muda wake |
Jinsi gani mtu atumie vyema muda wake | Jinsi gani
kijana ajitegemee katika maisha |
February 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE |
4.2.2005 |
11.2.2005 |
18.2.2005 |
25.2.2005 |
| OUR GUEST |
Wakazi wa
Kibaya |
Neema
Rashid wa Tengeru Arusha Tanzania |
Neema Rashid wa Tengeru Arusha Tanzania | Wakazi wa
Kibaya |
| TOPIC |
Je wazee
ni balaa au hazina |
Jinsi
alivyookoka kutoka dini ya Kiislamu hadi Ukristo |
Ushuhuda
wa Uponyaji wa Yesu |
Je, ni
vema kijana kuchaguliwa mchumba |
March 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | 4.3.2005 | 11.3.2005 | 18.3.2005 | 25.3.2005 |
| OUR GUEST | Wanafunzi
na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha
TUmaini |
Producer |
Wakazi wa
Manyara |
Ruben
Shekiandiko |
| TOPIC | Matatizo
ya wakimbizi Barani Afrika |
Nyimbo |
Je kuna
mmomonyoko wa maadili katika jamii. |
Ijumaa Kuu |
April 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | 1.4.2005 |
8.4.2005 | 15.4.2005 | 22.4.2005 | 29.4.2005 |
| OUR GUEST | Wanafunzi na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha TUmaini | Wanafunzi
na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha
TUmaini |
Wanafunzi na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha TUmaini | Wanafunzi na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha TUmaini | Wanafunzi na walimu wa Chuo Kishiriiki cha Chuo Kikuu cha TUmaini |
| TOPIC | Chanzo cha
wakimbizi Barani Afrika |
Matatizo
ya wakimbizi Barani Afrika |
Madhara ya wakimbizi | Suluhisho
la tatizo la wakimbizi |
Suluhisho la tatizo la wakimbizi |
MAY 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | 6.5.2005 | 13.5.2005 | 20.5.2005 | 27.5.2005 |
| OUR GUEST | ||||
| TOPIC |
September 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | OUR GUEST | TOPIC |
| 2.9.05 | Bwana Pamphil Anthony Kikwesha Diwani Kata ya Vuje Same | Usikivu wa vipindi katika wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Tanzania |
| 9.9.05 | Bwana
Pamphil Anthony Kikwesha Diwani Kata ya Vuje Same |
Juhudi za wananchi katika Maendeleo ya Kata ya Vuje wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Tanzania |
| 16.9.05 | Gabriel Ruben Mjema wa wilaya ya Same | Ubora wa vipindi vya Radio Sauti ya Injili Moshi Tanzania |
| 23.9.05 | Gabriel Ruben Mjema wa wilaya ya Same | Ubora wa vipindi vya Radio Sauti ya Injili Moshi Tanzania |
| 30.9.05 | Bwana Pamphil Anthony Kikwesha Diwani Kata ya Vuje Same | Usikivu wa vipindi vya Radio Sauti ya Injili na ugonjwa hatari wa Ukimwi. |
OCTOBER 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | OUR GUEST | TOPIC |
| 7.10.2005 | Msikilizaji mkongwe Joshua Manimo wa Dayosisi ya Mbulu KKKT | Usikivu wa vipindi vya Radio Sauti ya Injili |
| 14.10.2005 | Msikilizaji mkongwe Joshua Manimo wa Dayosisi ya Mbulu KKKT | Usikivu wa vipindi vya Radio Sauti ya Injili |
| 21.10.2005 | Msikilizaji mkongwe Joshua Manimo wa Dayosisi ya Mbulu KKKT | Hali ya Elimu wilayani Mbulu na tatizo la mila mbaya wilayani humo |
| 28.10.2005 | Msikilizaji mkongwe Joshua Manimo wa Dayosisi ya Mbulu KKKT | Hali ya Elimu wilayani Mbulu na tatizo la mila mbaya wilayani humo |
NOVEMBER 2005 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | OUR GUEST | TOPIC |
| 4.11.2005 | Wakazi wa Manispaa ya Singida Usharika wa Emmanuel Dayosisi ya Kati KKKT | Je, wazee wa karne ya 21 ni Hazina tosha |
| 11.11.2005 | Wakazi wa Manispaa ya Singida Usharika wa Emmanuel Dayosisi ya Kati KKKT | Je, wazee wa karne ya 21 ni Hazina tosha |
| 18.11.2005 | Wakazi wa Manispaa ya Singida Usharika wa Emmanuel Dayosisi ya Kati KKKT | Kwanini jamii inawatelekeza wazee na nini kifanyike ili kuondoa tatizo hilo |
| 25.11.2005 | Wakazi wa Manispaa ya Singida Usharika wa Emmanuel Dayosisi ya Kati KKKT | Baadhi ya Mbinu za kuondoa tatizo la kuwatelekeza wazee katika jamii hapa Tanzania. |
JANUARY 2006 Philemon Mark Fihavango
| DATE | OUR GUEST | TOPIC |
| 6.1.2006 | Wakazi wa Dodoma mjini | Wakati wa kustaafu |
| 13.1.2006 | Wakazi wa Dodoma mjini | Wazee watunzweje |
| 20.1.2006 | Wakazi wa Dodoma mjini | Kanisa na Wazee |
| 27.1.2006 | Wakazi wa Dodoma mjini | Je sheria iwalazimishe wazee kuishi kambini? |
FEBRUARY 2006 (Fihavango Mark Philemon )
| DATE | OUR GUEST | TOPIC |
| 3.02.2006 | Wanachuo wa Chuo cha Theolojia na Uinjilisti Mwika Moshi KKKT Tanzania | Je, Wazee ni Hazina |
| 10.02.2006 | Wanachuo wa Chuo cha Theolojia na Uinjilisti Mwika Moshi KKKT Tanzania | Wazee ni Hazina Kweli |
| 17.02.2006 | Wanachuo wa Chuo cha Theolojia na Uinjilisti Mwika Moshi KKKT Tanzania | Mipango ya Wazee |
| 24.02.2006 | Wanachuo wa Chuo cha Theolojia na Uinjilisti Mwika Moshi KKKT Tanzania | Wazee ni Hazina |
MAONI NA MAISHA(FRIDAY) Samwel Shao MARCH 2006
| DATE | PREACHER | TOPIC |
| 3.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI. | Athari za rushwa katika Kanisa na Jamii. |
| 10.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Chanzo cha rushwa pamoja na wigo wa rushwa katika Jamii. |
| 17.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Mbinu zinazotumika ktika kutoa rushwa na Jinsi Kanisa linavyotakiwa kujisafisha na rushwa. |
| 24.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Jinsi Kanisa linavyotakiwa kukemea rushwa pamoja na maovu mengine pasipo kuangalia sura. |
| 31.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Jinsi watumishi wa Mungu wanavyotakiwa kusimamia kweli ya Mungu na jinsi rushwa ilivyo chanzo cha maovu. |
MAONI NA MAISHA (FRIDAY) Samwel Shao APRIL 2006
| DATE | PREACHER | TOPIC |
| 7.4.2006 | . | |
| 14.4.2006 | ||
| 21.4.2006 | ||
| 28.4.2006 |
MAONI NA MAISHA(FRIDAY) Samwel Shao MARCH 2006
| DATE | PREACHER | TOPIC |
| 3.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI. | Athari za rushwa katika Kanisa na Jamii. |
| 10.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Chanzo cha rushwa pamoja na wigo wa rushwa katika Jamii. |
| 17.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Mbinu zinazotumika ktika kutoa rushwa na Jinsi Kanisa linavyotakiwa kujisafisha na rushwa. |
| 24.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Jinsi Kanisa linavyotakiwa kukemea rushwa pamoja na maovu mengine pasipo kuangalia sura. |
| 31.3.2006 | MCHUNGAJI GOODLUCK KITOMARI KUTOKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MAKUMIRA CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI | Jinsi watumishi wa Mungu wanavyotakiwa kusimamia kweli ya Mungu na jinsi rushwa ilivyo chanzo cha maovu. |
MAONI NA MAISHA (FRIDAY) Samwel Shao JUNE 2006
| DATE | PREACHER | TOPIC |
| 02.06.2006 | Mtaalamu wa Mazingira Bwana Bryson Mshana. | .Mambo ambayo kila familia na jamii ina haki ya kuyafahamu kuhusu afya na usafi wa mazingira. |
| 09.06.2006 | Mtaalamu wa Mazingira Bwana Bryson Mshana. | Jinsi ya kuzuia magonjwa kwa kutumia vyoo pamoja na kunawa mikono kwa sabuni baada ya kutoka chooni. |
| 16.06.2006 | Mtaalamu wa Mazingira Bwana Bryson Mshana. | Umuhimu wa kutumia maji safi na salama pamoja na athari za kula chakula kibichi. |
| 23.06.2006 | Mtaalamu wa Mazingira Bwana Bryson Mshana. | Magonjwa yanayoweza kuzuiliwa kwa kuweka vyakula katika hali ya usafi pamoja na umuhimu wa kuchoma takataka nyumbani. |
| 30.06.20066 | Mwandaaji wa kipindi Bwana Samwel Shao. | Majumlisho ya mada zilizotolewa na Mtaalamu wa Mazingira Bwana Bryson Mshana. |