TUNAMSHUKURU MUNGU WA MBINGUNI KWA KUJITOA KWAKO MSIKILIZAJI WETU KUFANIKISHA UNUNUZI WA JENERETA MPYA KWA AJILI YA KUIMARISHA USIKIVU JIJINI ARUSHA.

MUNGU WA NEEMA AENDELEE KUKUBARIKI MWILINI NA ZAIDI SANA ROHONI.

 

TUNAKUSHUKURU KWA KUTUUNGA MKONO KATIKA HUDUMA HII  YA UTUMISHI USIOKOMA

 

TUNAKUSIHI UENDELEE KUUNGA MKONO

EZRA 10:4

   Generator for Arusha Booster       

20160209_090007.jpg (42788 bytes)

20160209_090253.jpg (33642 bytes)

20160209_090458.jpg (85922 bytes)

20160209_091535.jpg (82003 bytes)

20160209_091701.jpg (60168 bytes)