Mkutano

Wachungaji wote Dodoma 2016

Kanisa Kuu la Kiluteri Dodoma

Maaskofu wanasubiri maandamano ya Wachungaji wafike eneo la ibada

Mkuu KKKT anawapokea wachungaji

Wote wanaingia mahali ya Ibada

Maaskofu wakiwa madhabahuni

Kwaya

Mkuu wa Kanisa anahubiri juu ya upendo wa mkristo. Anatuomba kufunga macho na kufikiri tunamchukia nani na ametushauri jinsi tunavyoweza kuwapenda hata maadui zetu.

Wachungaji zaidi ya 2000 wanamsikiliza

Baba Askofu Dr. Owdenburg Mdegella anaongoza kwaya ya Wachungaji 2000

Wote wamepewa chakula cha mchana baada ya ibada.

Kideo cha ibada inapatikana hapa